Habari za Mastaa

Mahaba ya Alikiba kwa Wema, amuimbia live mbele ya waandishi (video+)

on

Mwimbaji Alikiba leo Septemba 29, 2021 amemuimbia Wema Sepetu Happy Birthday mbele ya waandishi wa Habari baada ya mwandishi wa AyoTV kumuuliza swali kuhusu kutokumpost Wema Kwenye siku yake ya kuzaliwa kwani wanatatizo lolote..? sasa amefunguka mwanzo mwisho.

“Nilikuwa sijaona kama birthday yake, this is for you Bichwa, Nakupenda sana, Happy Birthday to you hii ni zaidi ya Kupost”- Alikiba

ALIKIBA ALIVYOFIKA NA GARI LA KIFAHARI, AONESHA MBWEMBWE ZAKE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments