Mahakama ya hakimu mkazi Arusha kesho August 12 2021 inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya Unyang’anyi wakutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya,Silvester Nyegu pamoja na Daniel Mbura.
Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Odira Amworo am kesi hiyo ameahirisha hadi August 12 ambapo atatoa maamuzi kama washtakiwa wana kesi ya kujibu au hawana