Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mahakama Kuu lazuia agizo la Rais wa Marekani
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mahakama Kuu lazuia agizo la Rais wa Marekani
Top Stories

Mahakama Kuu lazuia agizo la Rais wa Marekani

January 14, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mahakama Kuu nchini Marekani imezuia uamuzi wa Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kutaka iwe ni lazima kwa Watu kuchanjwa chanjo ya Covid 19, kuvaa mask au kupima Corona angalau mara moja kwa Wiki kwenye maeneo ya biashara hususani yanayobeba Watu zaidi ya 100.

Uamuzi wa Mahakama hata hivyo umeunga mkono uamuzi wa Biden wa kufanya iwe lazima kwa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya Afya na Hospitali kuchanjwa chanjo ya Covid 19.

Rais Joe Biden aliagiza Makampuni na maeneo mengine ya biashara yanayobeba zaidi ya Watu 100 kuchanjwa, kuvaa mask na kupima kila Wiki kwa lengo la kuokoa maisha ya Watu na kuzuia kushuka kwa uchumi kutokana na Covid 19.

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB NDUGAI IKULU CHAMWINO DODOMA

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Biden, Dar es salaam, Marekani
Edwin TZA January 14, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 14, 2022
Next Article Msemaji wa Simba SC afunguka baada ya ubingwa (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?