Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mahakamani kwa kuiba akaunti ya mpenzi wake na kupost picha za ngono baada ya kuachwa.!
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mahakamani kwa kuiba akaunti ya mpenzi wake na kupost picha za ngono baada ya kuachwa.!
Top Stories

Mahakamani kwa kuiba akaunti ya mpenzi wake na kupost picha za ngono baada ya kuachwa.!

March 21, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Mwanamitindo mmoja amefika mahakamani kumshtaki mpenzi wake  kwa kuiba akaunti yake ya mtandao wa kijamii kisha kupost picha chafu kama njia moja ya kulipa kisasi kwa kuachwa.

Mikayla Saravia, 25, anadai kuwa Nicholas Hunter, 27, alibadilisha password kwenye akaunti yake na kuposti picha na video zake(utupu) ambazo awali kwenye mahusiano yao walizipiga na ni baada ya kutengana mwezi Oktoba.

kulingana na kesi ya kulipiza kisasi ya utupu iliyowasilishwa katika mahakama ya shirikisho wiki hii kesi hiyo inadai kuwa Hunter, mpenzi wa zamani wa mwanamitindo huyo, alichapisha picha nyingi, na video chafu za ngono na video za Saravia, zikiwemo za kuanzia Oktoba 2022 hadi Januari 2023.

Saravia aliweza kuchukua udhibiti wa akaunti zake muda mfupi baadaye.

Wakili wake Joseph DiRuzzo alikiri kuwa mteja wake alikuwa amechapisha maudhui ya utupu akiwa peke yake, lakini akadokeza kuwa yeye ndiye aliyekuwa na udhibiti wa matukio hayo kipindi hicho.

Katika kesi hiyo, mwanadada huyo anataka kulipwa shilingi bilioni 771 sawa na dola za Marekani bilioni 6.3 kwa kuchafuliwa picha na jina lake mitandaoni.

Saravia ambaye ana mamilioni ya mashabiki kwenye tovuti nyingi za mitandao ya kijamii  ana akaunti mbili  (Only fans) moja ambayo ni ya bure na nyingine zaidi ambayo inampa mapato ya $30 kwa mwezi, jarida moja liliripoti.

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 21, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ‘Maafisa uchaguzi 2024 msitumie Iphone’ Urusi
Next Article China inamuuzia silaha Urusi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?