Leo February 7 2017 baadhi ya Watuhumiwa wa ishu za dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Kisutu Dar es salaam kujibu tuhuma zinazowakabili.
Mahakama hiyo imekubali maombi ya Jamhuri kuhusu tuhuma zinazomkabili Petitman na wenzake wanne kwamba watakuwa nje kwa dhamana ya shilingi milioni 20 na watatakiwa kuripoti kituo cha polisi mara mbili kwa mwezi kwa muda wa miaka mitatu na kila mmoja anatakiwa kuwa na mdhamini mmoja mwaminifu.
Mahakama imekubali maombi ya Jamuhuri kuhusu tuhuma zinazomkabili Petitiman na wenzie wanne, watakuwa nje kwa dhamana ya shilingi milioni 20 pic.twitter.com/5yrUIVZGcP
— millardayo (@millardayo) February 7, 2017
Aidha kwa TID, Tunda, Recho, Rommy Jones, Babu wa Kitaa na Nyandu Tozi watakuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja na dhamana ya Tsh milioni 10, wakivunja masharti watarudi Mahakamani
Mahakama imeamua watuhumiwa watakuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja na dhamana ya Tsh milioni 10, wakivunja masharti watarudi Mahakamani pic.twitter.com/xSXhmIrC3A
— millardayo (@millardayo) February 7, 2017
FULL VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi baada ya kutajwa kwenye orodha ya dawa za kulevya