Top Stories

Mahubiri ya RC Mwanri “hafi mtu hapa, achezi hizo, fursa ni kibebeo cha majukumu” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa ameanza ziara ya kuwafikia waathirika wa UKIMWI katika kona za Wilaya ili kuwatia moyo na kuwaunga mkono katika shughuli wanazofanya kupitia baraza la watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI nchini NACOPHA.

NDUGU WA BODABODA ANAYEDAIWA KUUAWA NA POLISI WAFUNGUKA ILIVYOKUWA, “TUNATAKA HAKI ITENDEKE”

Soma na hizi

Tupia Comments