Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

DC Mjema afunguka kuhusu ukahaba’Tuache uzungu,tutawakamata wateja’

on

Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amesema watu wanapaswa kutii sheria na ukahaba uishe, kwani taifa limeingiliwa na wimbi la kutojali maadili na kutokuja kama ni Watanzania.

DC Mjema amesema watu waache Uzungu, warudi kwenye maadili ya Kiafrika, kwani wimbi la nchi za nje linawaalibu vijana wengi na taifa la viwanda haliwezi kuwepo kama kuna watu wasiokuwa na maadili.

“Wazazi, walezi, walimu na wananchi tuendelee kuwalea vijana wetu na tuwakanye na tubakiwe na yale ya kwetu, tunajua wateja wapo na tunatakiwa kuwakanya na tunatoa elimu kama watu hawataki tutaanza kukamata wateja,”amesema.

‘Tuache Uzungu, tutawakamata wateja wanaonunua Makahaba’ DC MJEMA

 

EXCLUSIVE: Kundi la TMK Family kurudi upya ? KR Mulla afunguka ‘hatuna ugomvi

Soma na hizi

Tupia Comments