Habari za Mastaa

New Maisha Club haitokuwepo tena Osterbay Dar es salaam, stori kamili hapa

on

Screen Shot 2015-06-15 at 10.00.06 AMJana pale New Maisha Club Masaki kulikuwa na party ya kufungwa kwa club hiyo…  Watu wa nguvu walienjoy na burudani ya show toka kwa Shetta, Amini, Dudubaya, Snura pamoja na Nuh Mziwanda.

HK ambae ndio Manager wa Club Maisha amesema wanafunga ili kubadili mazingira, Club hiyo itahamishiwa maeneo ya Kijitonyama nyuma ya jengo la Millenium Tower  ambapo Club hiyo itakuwa kwenye Jengo la underground kabisa.

Utaratibu wa kuhama na kukarabati Club hiyo utafanyika ndani ya kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.. pata picha hiyo Maisha Club underground itakuwaje yani !!

Matukio haya kwenye pichaz yote nimekusogezea kutoka kwenye show hiyo ya mwisho iliyofanyika jana June 14 2015 #Maisha_Club

Screen Shot 2015-06-15 at 9.58.42 AM

Nuh Mziwanda

Screen Shot 2015-06-15 at 9.58.53 AM

Screen Shot 2015-06-15 at 9.59.02 AM

Snura

Screen Shot 2015-06-15 at 9.59.47 AM

Screen Shot 2015-06-15 at 9.59.24 AM

Screen Shot 2015-06-15 at 9.59.35 AM

HK.. Meneja wa New Maisha Club

Screen Shot 2015-06-15 at 9.59.57 AM

Shetta

Screen Shot 2015-06-15 at 10.00.06 AM

Baadhi ya watu wakishuhudia Burudani hiyo.

Screen Shot 2015-06-15 at 10.07.10 AM

Screen Shot 2015-06-15 at 10.07.22 AM

DJ Zero kutoka @CloudsFM

Screen Shot 2015-06-15 at 10.07.33 AM

DJ Frank

Screen Shot 2015-06-15 at 10.07.44 AMUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments