AyoTV

#AyoTV video za @FidQ Weusi Shilole na Adam Mchomvu New maisha club. @AyoTV

on

ad1Ni usiku ambao presenter wa XXL ya CloudsFM Adam Mchomvu alikua anaonyesha uwezo kwenye upande wake wa pili ambao ni muziki.

Kwenye hii time ambayo Adam alisindikizwa kwenye stage na wakali kama Young D, Young Killer, Country Boy, WEUSI, Shetta na Shilole, aliiachia kwa mara ya kwanza video yake mpya ya ‘au sio’ ambapo aliehost show alikua Fid Q.

ad2Show ilifanyika usiku uliofatia baada ya utoaji wa tuzo za KTMA ambapo Fid Q alishinda mbili na WEUSI mbili.

 

 

Tupia Comments