Habari za Mastaa

Unataka kujua nyimbo zinazosumbua Club kwa sasa?hizi hapa.

By

on

IMG-20140205-WA0012

Huu ni mtiririko wa nyimbo zinazosumbua kwa sasa kwenye Club mbalimbali ikiwemo New Maisha Club chini ya Extreme Djs,hapa pata nafasi ya kuzifahamu nyimbo hizi.

10.Ya moto-

09.Sugua Gaga-Shaa

08.Number One rmx-Diamond feat Davido

07.Bang-Yakuza Mobb feat.Tid

06.Chelewa-Navy Kenzo

05.Msambinungwa-Tundaman

04.Tema Mate-Madee

03.Nakula ujana-Ney wa Mitego

02.Roho yangu-Rich Mavoko

01.Ujuzi-climax Bibo.

Na bonus track ni wimbo mpya wa Snura unaoitwa Ushaharibu.

Tupia Comments