AyoTV

VIDEO: Majibu ya Meya Kinondoni kwa wanaohoji uwepo wa Dk. Tulia na Ndalichako

on

October 23 2016 baraza la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Dar es salaam lilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe.
Lakini moja ya headline zilizochukua nafasi kubwa kuanzia kwanye mitandao ya kijamii hadi magazetini ni uhalali wa uchaguzi huo kuwa haukuwa wa haki baada ya kuonekana ushiriki wa Naibu spika Dk. Tulia pamoja na Waziri Ndalichako.

 Ayo TV imempata kwenye exclusive interview meya huyo ambaye anashare na sisi baadhi ya tuhuma hizo.

Kuna taarifa za upotoshaji nimeziona, watu wajue Meya anachaguliwa na baraza la madiwani ambao ni wakata/viti maalum na wateule,tuna madiwani wa kata, viti maalum pamoja na wateule wa Rais wakiwemo Dk. Tulia, Waziri Ndalichako n.k ambao makazi yao ni Kinondoni‘ –Benjamin Sitta

Hapa kwenye wateule wa Rais ndio kumekuwa na upotoshaji, ikumbukwe kwamba hawa wote wanaishi Kinondoni na wote ni wajumbe halali‘ –Benjamin Sitta

ULIIKOSA HII WALICHOKISEMA WANAFUNZI WA UDOM BAADA YA KUFIKA WIZARA YA ELIMU KUDAI FEDHA

Soma na hizi

Tupia Comments