Michezo

Ni kweli Vietnam wanakula nyoka? Majabvi wa klabu ya Simba ana majibu hapa (+Audio)

on

Kiungo mpya wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Simba Justice Majabvi ambaye amewahi kucheza soka barani Ulaya na Asia katika nchi ya Vietnam kabla ya kutua Simba mchezaji huyo ana uzoefu wa kucheza soka ndani na nje ya Afrika.

DSC_0009

Kwa mujibu wa mchezaji huyo akizungumza na ripota wa millardayo.com alishare nasi stori kuhusu utamaduni wa watu wa Vietnam kuwa baadhi ya nchi za Asia wanakula,Chura, Nyoka na Mbwa.

IMG-20150826-WA0014

“Ndio ni kweli ni kawaida kwa Vietnam watu kula Nyoka, Mbwa, Paka ni kweli ni gharama kununua nyama hiyo hususani ya nyoka ipo juu sana bei yake, mara nyingi familia zinazojiweza ndio huwa wanakula sijui bei yake halisi lakini inafika dola 50 kwa kilo moja”>>> Justice Majabvi

Unaweza uka bonyeza Play kumsikiliza Justice Majabvi

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments