Top Stories

Majaliwa achukizwa wamama kutokea barabarani na ndoo (video+)

on

Katika ziara ya kikazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa anayoendelea kuifanya mkoani Kilwa amekutana na wakina mama waliobeba ndoa za maji kuashiria kuwa wana tatizo la Maji.

Ayo TV & MIllardayo.com  imekusogezea ushuhudie Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyomuita Mhandisi wa Maji atoe maelezo.

UFAFANUZI ULIOTOLEWA KUHUSU VIDEO ILIYOSAMBAA IKIWAONESHA WANAFUNZI WAKITUMIA MTUMBWI KWENDA SHULE

Soma na hizi

Tupia Comments