Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Majaliwa alivyowasimamisha watumishi wawili Katavi, ataka wachunguzwe kwa hili
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Majaliwa alivyowasimamisha watumishi wawili Katavi, ataka wachunguzwe kwa hili
Top Stories

Majaliwa alivyowasimamisha watumishi wawili Katavi, ataka wachunguzwe kwa hili

December 13, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa {TAKUKURU} Mkoa wa Katavi awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi ya Umma.

Mwingine ni Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika Bw Abraham Casto ambaye anadaiwa kujipatia ardhi katika vijiji mbalimbali bila ya kufuata taratibu za kisheria na kusababisha migogo ya ardhi baina yake na wanavijiji.

Watumishi wote hao wawili wamesimamishwa kazi kupisha Uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo alipozungumza na watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika katika ukumbi wa Mpanda Social Hall akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Katavi.

Pia Waziri Mkuu ameiagiza TAKUKURU ichunguze ununuzi wa pikipiki 30 zilizonunuliwa Jijini Dar es Salaam kwa gharama ya sh. milioni 3.8 kila moja huku wilayani Mpanda pikipiki moja inauzwa sh. milioni 2.7, pia ununuzi wa mita za maji 1,000 uliofanywa bila ya kukaguliwa na TBS pamoja na ajira ya watumishi 25 alizoajiri bila kibali.

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: Dodoma, Katavi, Majaliwa
Edwin TZA December 13, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kinyozi ahukumiwa miaka 30 Jela mkoani Iringa
Next Article Mkali wa Singeli Meja Kunta ameungana na Mabantu kutuletea hi collabo yake mpya ‘Demu wangu’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?