Top Stories

Majambazi wanne wauawa “wananchi wakatambue maiti” (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limewaua Watu 4 kati ya takribani 8 wanaoshukiwa kuwa majambazi katika eneo la Malagarasi Kitongoji Kampe Kijiji cha Mvugwe mpakani mwa Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma ambapo watu hao waliingia katika mtego wa Polisi kabla ya kufanya uhalifu.

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP Martin Ottieno amesema tukio hilo limetokea alfajiri ya saa 12 leo wakiwa na bunduki moja.

MAGOBOLE 27 YASALIMISHWA NA WANANCHI KIGOMA NA MENO TEMBO

Soma na hizi

Tupia Comments