Mix

FULLVIDEO: JPM alivyozindua Mradi wa Majengo ya Magomeni Quarters DSM

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 15, 2017 ameweka jiwe la msingi kuzindua Mradi wa Majengo, Magomeni Quarters jijini Dar es Salaam. Mradi huo utakuwa ni nyumba 644 kwa ajili ya makazi ya watu.

Nimekuwekea full video bonyeza play kutazama kutazama hapa chini…

VIDEO: JPM alivyozindua hostel UDSM. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments