Top Stories

Majeruhi asimulia ajali ya basi la Emigrace iliyotokea Oct 2, 2021 (video+)

on

Watu tisa wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa baada ya basi la Emigrace linalofanya safari zake kati ya Babati Mkoa wa Manyara na Dar es Salaam kupinduka.

Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi October 2, 2021 katika mteremko wa milima ya Kolo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.

Ayo TV & Millardayo.com imefika hospitalini na kuzungumza majeruhi na hapa anasimulia ilivyokuwa.

WATU TISA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI DODOMA, MGANGA MKUU ANENA “MAJERUHI 40”

Soma na hizi

Tupia Comments