AyoTV

VIDEO:Maswali na majibu bungeni leo, ishu ya wafanyakazi wa viwanda imemsimamisha Waziri

on

April 25 2016 Bunge la 11 mkutano wa tatu limeendelea, na Waziri wa Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage alikuwa akijibu maswali ya wabunge.

Mbunge wa Moshi mjini, Japhary Michael aliuliza ‘Viwanda vingi vilivyobinafsishwa havifanyi kazi badala yake vimegeuzwa kuwa maghala ya kuhifadhia bidhaa mbalimbali na vimechakaa sana, aidha mafao ya wafanyakazi waliostaafishwa katika hawalipwi licha ya malalamiko ya muda mrefu, Serikali imejipanga vipi?’

Waziri Mwijage akajibu>>>’Wizara kwa kushirikiana na ofisi ya msajili wa hazina inaendelea na zoezi la kufanya ufuatiliaji na Tathmini katika viwanda na mashirika yaliyobinafsishwa ili kubaini kama masharti ya vipengele vya mikataba

Aidha, Serikali haiwajibiki kulipa mafao yoyote kwa wafanyakazi waliokuwa katika viwanda vya magunia na Kilimanjaro Timber UltilizationWaziri Mwijage

ILIKUPITA HII VIDEO YA UKAWA KUSUSIA KUCHANGIA BUNGENI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments