Habari za Mastaa

Majibu ya Alikiba kuhusu kuoa mke wa pili “Kwanini nishindwe”

on

Leo December 13, 2019 Alikiba amehojiwa kwenye kipindi cha Leo tena ya Clouds FM ambapo ameulizwa kuhusu ndoa yake na kama angependa kuja kuoa mke wa pili hivi karibuni baada ya yeye kusema kuwa mke wake Amina kwa sasa yupo Mombasa Kenya.

Kwenye mahojiano hayo kuhusu ndoa yake Alikiba amesema kuwa…>>>”Hakuna ndoa isiyokuwa na migogoro na ni vitu vya kawaida na sipendi kuongelea hilo, mimi sijawahi kulia kwenye mapenzi lakini nimewahi kuexperience maumivu lakini maumivu yangu hayawezi kufanana na ya kwako”

Pia Alikiba alipoulizwa kuhusu kuoa mke wake alijibu haya..>>>”Kwanini nishindwe, mkisikia nimeoa jua nimeamua mke wa pili mke wa tutu mke wa nne”

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza alichosema.

ALIKIBA KAONGEA HAYA KUHUSU KUOA MKE WA PILI “KWANINI NISHINDWE”

Soma na hizi

Tupia Comments