Habari za Mastaa

Majibu ya BASATA kuhusu kurudisha Matamasha ya Wasanii

on

MEI 28, 2020 ambapo kulikufanyika mkutano wa washehereshaji, wasanii, wadau mbalimbali wa sanaa kueleza mapendekezo yao walivyojipanga kuendelea na huduma zao hasa kwenye kipindi hiki cha Janga la Corona mbele ya Mwenyekiti wa bodi ya BASATA Bw.Habbi Gunze na Katibu wa Baraza la Sanaa Tanzania, Godfrey Mngereza.

 

Soma na hizi

Tupia Comments