Top Stories

Majibu ya Naibu Waziri kujengwa kwa Sports Arena za DAR na Dodoma (video+)

on

Naibu Waziri, Utamaduni Sanaa na michezo Pauline Gekul amesema wanaendelea na mpango wa ujenzi wa Sports and Arts Arena katika Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma yenye jumla ya Tsh.Bilioni 550 kwa ushirikiano kati ya Serikali na Wadau, na Wizara hiyo imeshakamilisha hatua za awali za kutengeneza michoro ya Arena hizo (Archtectural design).

Gekul ameyasema hayo wakati akijibu swali la mbunge wa Kibamba, Issa Mtemvu aliyetaka kujua ni lini Serikali itajenga Sports Arena katika Wilaya ya Ubungo.

 

Tupia Comments