Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ruwasa Manyara kumaliza kero ya Maji
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ruwasa Manyara kumaliza kero ya Maji
Top Stories

Ruwasa Manyara kumaliza kero ya Maji

February 2, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Serikali imesema hadi kufika mwaka 2025 huduma ya maji safi na salama katika mkoa wa Manyara inatarajiwa kuwafikia wananchi kwa asilimia 85.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema hayo wakati akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya miradi ya maji katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Manyara kati ya Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira (RUWASA) na wazabuni waliopata tenda ya kutekeleza miradi hiyo ya maji uliofanyika katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Manyara.

Miradi inayotarajiwa kutekelezwa na wakandarasi waliosaini mikataba ni miradi 28 ambapo miradi 7 ni mipya, miradi 8 ya kuongeza mitandao, visima 26 na usanifu wa miradi 53 kwa ujumla utekelezaji wa miradi hiyo utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 15 na milioni 406 ambazo tayari zimetolewa na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Nae Meneja wa RUWASA Mkoa wa Manyara Mhandisi Walter Kirita amesema kwa sasa wanahudumia asilimia 80 ya wakazi wa mkoa wa Manyara hasa waliopo vijijini na huduma ya maji imefikia asilimia 64.3 sawa na ongezeko la asilimia 3.3 kutoka asilimia 61 mwezi juni mwaka 2022 ambapo takwimu za utoaji wa Maji Mkoa wa Manyara ikiwa asilimia 63 wilaya ya Hanang , Babati asilimia 76, Kiteto asilimia 60.9, Mbulu asilimia 65.2, Simanjiro 51.6

Nao wakandarasi na wazabuni wamesema wapo tayari kufanya kazi kwa bidii kama mikataba inavyoeleza kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati ili wananchi waweze kupata huduma ya maji safi na salama.

.

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

Edwin TZA February 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023
Next Article Picha: Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar afika Tanga afunguka haya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?