Ad
Ad

Michezo

Pichaz za Maji Maji FC wakiendelea na mazoezi bila kocha wao Mfinland Mika Lonnstrom na ripoti yao ya usajili

on

Bado siku mbili mikimiki ya Ligi Kuu soka Tanzania bara iweze kuendelea kama kawaida, baada ya kusimama kwa takribani wiki kadhaa ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Michuano ya Kombe la Challenge 2015 iliyokuwa inafanyika Ethiopia.

DSC00427

Maji Maji FC ambao wanafundishwa na kocha wao kutoka Finland Mika Lonnstrom wameendelea na mazoezi leo December 10 bila kuwa na kocha wao huyo ambaye bado hajarudi kutoka kwao na jukumu la usimamizi wa kikosi hicho anaendelea nalo kocha wao msaidizi Hassan Banyai.

DSC00403

Pamoja na hayo Maji Maji FC wamemuongeza kikosini mchezaji wa kitanzania aliyekuwa anacheza soka la kulipwa Burundi katika klabu ya  Aigle Noir inayoshiriki Ligi Kuu Burundi, ila bado wanamfanyia majaribio Abubakar Bi Bakari aliyekuwa anaichezea klabu ya Aigle Noir na aliwahi kucheza Yanga B.

DSC00401

Abubakar Bi Bakari wa katikati pichani

DSC00400

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments