Top Stories

Majonzi msibani..!!Askari aliyeuwawa kwa bunduki alikuwa tegemezi baba yake kafunguka (Video+)

on

Baada ya kuripotiwa taarifa ya vifo vya Askari wanne waliouawawa kwenye tukio la majibizano ya risasi kati ya jamaa aliyefahamika kwa jina la Hamza na Polisi na kisha kuuawa baadae.

Ayo TV na Millardayo.com zimefika mpaka nyumbani kwa moja ya Askari waliofariki kwenye tukio hilo anayefahamika kwa jina la Emmanuel Williston Waitar na kumpata Baba yake aitwae Waitara na kaka yake wakimuelezea Emmanuel.

Play video kutazama

“ANGEKUWA HAI TUNGEFAIDIKA NAE KWA MAMBO MENGI, POLISI WAMETUMIA BUSARA NA KAZI KUBWA”———RC DSM

RAIS SAMIA ANENA TUKIO LA MAJIBIZANO YA RISASI DSM “MTU HUYO AMEDHIBITIWA NA HALI NI SHWARI”

Soma na hizi

Tupia Comments