Habari za Mastaa

Major league Dj’z wameileta hii amapiano Balcony Mix wakiwa na Kelvin Momo (video+)

on

Ni Wakali kutokea Afrika Kusini, Major League Dj’z ambapo time hii wameendelea na mwendolezo wa Amapiano Balcony Mix.

Na leo wameachia hii waliyoiandaa naKelvin Momo unaweza ukabonyeza play kutazama

Tupia Comments