Habari za Mastaa

Major League Dj’z wamtambulisha Nkosazana, aonesha uwezo wake wa kuziimba Amapiano

on

Ni Wakali kutokea Afrika Kusini, Major League Dj’z ambapo time hii wamemualika mrembo Nkosazana Daughter kuuonesha ulimwengu uwezo wake wa kuziimba nyimbo zao maarufu kama Amapiano.

Major League Dj’z waliandaa hii session maalum kwa lengo la wadau na mashabiki wa muziki wao wawatambue zaidi waimbaji wanaoziimba nyimbo zao.

Unaweza ukabonyeza play kutazama dakika 15 za Nkosazana alivyozitumia katika session ya PIANO CITY.

 

Soma na hizi

Tupia Comments