Ad

AyoTV

VIDEO: Mambo manne aliyozungumza Waziri wa Fedha bungeni mbele ya Waziri Mkuu

on

March 28, 2017 Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango aliwasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na ya kiwango na ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo Mwenyekiti alikuwa ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

FULLVIDEO: Alichoongea Nay wa Mitego baada ya kuachiwa na polisi 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments