AyoTV

Sekunde 20 za Mzee Majuto kwenye movie mpya ya ‘Mama Ntilie’

on

Screen Shot 2014-05-19 at 7.52.53 AMKutana na Mzee Majuto ambae ni mchekeshaji wa longtime Tanzania, hizi ni sekunde 20 za sehemu aliyoigiza kwenye movie ya ‘Mama Ntilie’ ya Irene Paul ambayo sasa hivi naambiwa iko dukani tayari.

Umependa hizi sekunde? niachie lolote la moyoni kwenye comment hapa chini.

Kama unataka stori kama hizi zisikupite ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia FACEBOOK & INSTA ili niwe nakutumia kila stori inayonifikia.

Tupia Comments