Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira January Makamba akiwa katika ziara yake amefika katika wilaya ya Monduli Arusha ktk kijiji cha Enguiki alichozaliwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Sokoine.
Akiwa kwenye kijiji hicho Waziri January Makamba ametembelea nyumba ya waziri wa Zamani Edward Sokoine. Bonyeza play hapa chini kuitazama
VIDEO: ‘Ukuta utakaodumu miaka zaidi ya 100 kujengwa Pangani’ -Makamba, Bonyeza play hapa chini kuitazama