AyoTV

VIDEO: ‘Hata mke wangu sasa hivi wanasema sio raia’-Paul Makonda

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameshiriki ibada na waumini wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ‘KKKT’ usharika wa Kimara Dar es salaam ambapo alipata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo vita ya dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini nimekuwekea Full Video ya alichokizungumza.

‘Tutawapima wachezaji anayetumia dawa za kulevya tutaondoka naye”-Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments