Mix

VIDEO: January Makamba afika bandari ya Tanga, kisiwa hatarini kutoweka

on

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba alitembelea na kukagua Kisiwa cha Wafu ‘Toten Island’ kilichopo jijini Tanga ambacho kinathiriwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya tabia nchi.

Hali hiyo imepelekea kuinuka kwa kina cha maji na kutishia kupotea kwa kisiwa hicho ambapo ametoa rai ya kuchukua hatua za haraka kukiokoa ikiwepo kujenga ukuta kama ilivyofanywa Dar es Salaam na Pangani.

Bonyeza play hapa chini kutazama Full Video

VIDEO: Ziara ya January Makamba, ni yeye na Mwananchi mmoja mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments