Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Makalla azitaka Halmashauri kutoa kazi za Usafi kwa Wakandarasi wenye sifa
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > RC Makalla azitaka Halmashauri kutoa kazi za Usafi kwa Wakandarasi wenye sifa
Top Stories

RC Makalla azitaka Halmashauri kutoa kazi za Usafi kwa Wakandarasi wenye sifa

September 24, 2022
Share
1 Min Read
.
SHARE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezitaka Halmashauri za Mkoa huo kuhakikisha zinatoa tenda ya Usafi kwa Kampuni zenye sifa na Vifaa vya uhakika na sio kutoa tenda hiyo kwa Kampuni hewa au kwa kujuana jambo linalopelekea Usafi kusuasua.

.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo wakati wa zoezi la Usafi wa pamoja Kata ya Kariakoo kwa ushirikiano na Kampuni ya Usafi ya Kajenjere trading company.

Aidha RC Makalla amewataka Wakandarasi wa Usafi kuhakikisha wanabeba taka kwa wakati na kuwahimiza Wananchi kulipa ada ya taka.

.

Pamoja na hayo RC Makalla amewapongeza Wananchi kwa kuhamasika kufanya Usafi Jambo lililopelekea Dar es salaam kushika nafasi ya sita kwa Usafi barani afrika na kuwa miongoni mwa.majiji mawili yanayovutia barani afrika.

Hata hivyo RC Makalla amesema Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM ni Kampeni endelevu hivyo ameelekeza kila Mtaa kuhakikisha wanadhibiti Ufanyaji biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa.

.
.

You Might Also Like

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao

Magaya, Gwajima, Waziri Mkenda wasaka dawa dhidi ya Ukatili

Alichokifanya Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa, Ulega afunguka “Ametoa kwa Yatima”

Edwin TZA September 24, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live: Operesheni ya Jeshi la Polisi yakamata watuhumiwa 167, Silaha, Madawa ya Kulevya na Magari
Next Article Mimi Mars kutoa burudani kali DAR, usiku wa leo Maison Club Septemba 24
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?