Top Stories

Makamba akerwa kukatika kwa Umeme pasipo taarifa, aagizo hili (video+)

on

Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuvunjwa kwa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kushindwa kulisemea shirika hilo pamoja na kutoa taarifa kwa wateja.

Tupia Comments