Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri January Makamba Kijiji kwa Kijiji…. hii ni Segoma Mkinga Tanga

on

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira January Makamba amekuwa Waziri wa kwanza kufika katika ardhi ya kijiji cha Segoma kilichopo Wilaya ya Mkinga, Tanga ambako ameshuhudia wanakijiji wakihangaika kupata maji safi na salama.

Bonyeza play chini kutazama…

VIDEO: Sababu za January Makamba kuamua kukaa kimya kwenye Mitandao ya kijamii. Bonyeza play kutazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments