AyoTV

VIDEO: Sababu za January Makamba kuamua kukaa kimya kwenye Mitandao ya kijamii

on

Tangu mwishoni mwa mwaka 2015 January Makamba ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira amekuwa kimya kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kutoshiriki tena kuandika au kupost kama alivyozoeleka kipindi kilichopita. Nini sababu za ukimya huo?

Amekubali kuijibu hii kwenye EXCLUSIVE na AyoTV na millardayo.com, Bonyeza play kuitazama.

VIDEO: January Makamba afika bandari ya Tanga, kisiwa hatarini kutoweka, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments