Top Stories

Makao makuu Posta Afrika kujengwa Arusha “Naweka Uwaziri pembeni naingia kama Injinia” (+video)

on

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Umoja wa Posta Afrika (PAPU) wasaini mkataba wa ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya PAPU litakalokuwa Jijini Arusha, Tanzania. Akishuhudia zoezi hilo ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe.

UWEZO WA PEKEE MTOTO WA DARASA LA TATU ATUNGA KITABU KILICHOANDIKWA KWA MWANDIKO WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments