Ad

Top Stories

VIDEO: Sera mpya itakayoratibu gharama za kodi za kupangisha nyumba yaja

on

Leo October 2, 2017 ikiwa ni siku ya makazi duniani, katika maadhimisho yake nchini yaliyofanyika ukumbi wa Karimjee DSM, Naibu Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula amewataka wananchi kujiandaa kutoa mapendekezo kwenye sera mpya itakayoweza kuratibu gharama za upangishaji wa nyumba.

“Baadhi ya mapendekezo hayo ni upatikanaji wa nyumba za gharama nafuu, ardhi iliyowekwa miundombinu yote muhimu, usalama wa miliki, kuhimiza tafiti za uzalishaji wa vifaa vya ujenzi nchini kwa bei nafuu, usafi wa mazingira, na upatikanaji wa mitaji na mikopo ya nyumba yenye riba nafuu.”   – Angelina Mabula

Ulipitwa na hii? Sasa hivi kumiliki ardhi kila kitu kinakua Digital

Soma na hizi

Tupia Comments