AyoTV

Ya mwisho ya Mama Anne Makinda >>> Ipad za Wabunge? mafunzo? Gym Bungeni? #AyoTV (+Video)

on

Mama Anne Makinda amekuwa Spika wa Bunge kwa kipindi cha miaka mitano, lakini siku ya Novemba 13 2015 Spika huyo mstaafu alitangaza rasmi kwamba yeye na Uspika basi !!

Aliyaongea mengi siku hiyo ikiwemo sababu ya kuamua kutoendelea na Uongozi Bungeni… Bunge la 11 limeanza, unajua alisema Wabunge safari hii watakutana na nini kipya Dodoma? Majibu kwenye hii video, unaambiwa mpaka gym ipo !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments