Top Stories

Mauaji ya Mwanachuo wa Kampala: Mambosasa katoa maagizo “lazima tutajibu” (+video)

on

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema wamepokea kwa mshitukio kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Mgaya aliyeuawa kwa kuchomwa na kisu June 15, 2019 ambapo Jeshi la Polisi limesema msiba huo hauendi hivyo hivyo kwani wahusika watakuwa mikononi mwa Polisi.

Pia Kamanda Mambosasa amesema wameapa na lazima watajibu juu ya kifo cha Mwanafunzi huyo kwa muda mfupi.

TAMKO LA CHUO CHA KAMPALA BAADA MWANAFUNZI WAO ANIFA KUUAWA

Soma na hizi

Tupia Comments