AyoTV

“Fedha za Dawa za Kulevya zinaenda kukauka DSM” – Paul Makonda

on

Leo March 15 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hivyo amekutana na wadau mbalimbali wa Mkoa huo kwa ajili ya kutathmini mambo mbalimbali kwenye uongozi wake na amezungumza mambo mbalimbali ikiwemo vita dhidi ya Dawa za Kulevya.

Bonyeza play hapa chini kutazama. 

‘Najua watatupinga lakini ukiona mtoto analia sana ujue viboko vimemuingia’ -Diamond Platnumz 

Soma na hizi

Tupia Comments