Videos

VideoMPYA: Makomando wanatukaribisha kuitazama hii ‘Sasanuvo’

on

Kundi la Makomando likiongozwa na wakali Muki na Fredy kutokea kiwanda cha Bongoflevani leo May 28 2016 wanatualika kwenye video yao mpya ‘Sasanuvo‘  ikiongozwa na Kwetu Studio, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hao wataiona hapa

ULIKOSA KUONA AUNTY EZEKIEL AKIELEZEA MOSE IYOBO ALIPOHISI MTOTO SIO WAKE?UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments