AyoTV

VIDEO: Waliohusika kutorosha Makontena Bandarini, hizi ndio hatua zitakazochukuliwa kwao…

on

Utoroshwaji wa Makontena uliofanyika katika Bandari Kavu kisha kugunduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara ya kwanza alipotembelea Bandarini na baadae Rais Magufuli Kuwataka walewote waliotorosha Makontena hayo walipe  kodi .

Kampuni ya Yono Auction Mart ndiyo imepewa dhamana na Mamlaka ya mapato nchini (TRA) Kukusanya kodi hizo kwa wote waliotorosha makontona  bandari kavu. Nakukutanisha na Mkurugenzi Mkuu akieleza hatua zilizopangwa kuchukuliwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments