Mix

Ahadi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni baada ya kufungua Kituo cha Yatima Kimara Dar…

on

3X6A9546

DC Paul Makonda akisaini kitabu cha Wageni.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ni mmoja ya Viongozi ambao majina yako sana kwenye Vyombo vya Habari, mara nyingi tunasikia stori zake kuwa karibu hasa na watu wake wa Kinondoni… leo alikuwa Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Kituo cha Yatima cha ‘Watoto Wetu’ kilichopo Kimara Suka, Dar es Salaam.

3X6A9555

Mbali ya kuwa mgeni rasmi nakumbuka sehemu ya ahadi alizotoa kwa baadhi ya watoto Yatima, watoto wa Mitaani na wengine ambao wanaishi kwenye Mazingira magumu au wazazi wao hawana uwezo.

3X6A9560

Ahadi ya kwanza ni kuwasomesha watoto saba elimu ya Sekondari, wapo pia wanafunzi ambao walifaulu kuingia Vyuoni ila wakakosa ada na mkopo, nao kawaahidi kuwalipia ada mpaka watakapomaliza.

3X6A9573

Mmoja wa vijana akionesha uwezo wake wa kuigiza, huyu ni mmojawa wanaolelewa kwenye Kituo hicho.

3X6A9578

3X6A9598

3X6A9605

3X6A9620

3X6A9621

Hawa ni baadhi ya Watoto na Vijana ambao wanalelewa katika Kituo hicho cha Yatima.

3X6A9624

Mmoja wao aliwakilisha wenzake kwa kusoma risala.

3X6A9636

3X6A9641

3X6A9647

Kukaendelea uzinduzi wa Kituo hicho pamoja na bomba ya maji kwa ajili ya matumizi ya wote wanaoishi kwenye Kituo hicho.

3X6A9658

3X6A9664

3X6A9679

3X6A9683

3X6A9705

3X6A9714

3X6A9726

3X6A9730Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments