AyoTV

Nyingine mpya kutoka kwa Makonda, Milioni moja kwa Polisi..(+Video)

on

Leo March 18 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa jeshi hilo, lakini kubwa ni hili la kutangaza kutoa zawadi ya milioni moja kila baad ya miezi mitatu kwa kila Askari Polisi aliyepambana na majambazi.

Kama ulimiss Rais Magufuli kapiga simu kwenye kipindi cha TV ya Tanzania kwa mara ya kwanza tangu awe Rais

Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments