AyoTV

VIDEO: Paul Makonda alivyomalizana na mgogoro wa ardhi wa Mzee Sumaye na Wananchi

on

Jan 29 2016 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda aliwakutanisha katika meza moja Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye na wananchi wa Mabwepande baada ya kuzuka mgogoro wa kugombea shamba. Full stori nimekusogezea kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments