Videos

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Malaika anatualika kuitazama hii ‘Rarua’

on

Hii ni time nyingine tena ya kuenjoy na mdundo mpya kutoka kwa staa wa bongo flavour Malaika ambaye alishawahi kumiliki mdundo wa ‘salesale‘ aliomshirikisha producer Mensen Selekta na sasa kaileta hii ya ‘Rarua

Unaweza kubonyeza Play hapa chini kisha ukimaliza kuitazama niachie comment yako ili baadae Malaika apite kuzisoma.

ULIMIS BEN POL VS JUX KWENYE JUKWAA WAKIZICHANA

Soma na hizi

Tupia Comments