AyoTV

VIDEO: “Viongozi mfano wa Magufuli ni wachache duniani” – Gulamali

on

Story kubwa kutoka Bungeni Dodoma ni kuhusu Wabunge kuendelea kuchangia mapendekezo yao katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo mmoja kati ya waliopata nafasi leo June 14, 2017 ni Mbunge wa Manoga Seif Gulamali ambaye katika dakika 10 za kuchangia mapendekezo yake hakusita kutoa pongezi kwa Rais JPM akisema viongozi wa mfano wake ni wachache duniani.

VIDEO: Msigwa naye afunguka suala la madini, apinga wawekezaji kuitwa wezi 

Soma na hizi

Tupia Comments