Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mali za Bilionea wa Chelsea England zazuiliwa
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mali za Bilionea wa Chelsea England zazuiliwa
Sports

Mali za Bilionea wa Chelsea England zazuiliwa

March 10, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mali za mmiliki wa Chelsea Roman Abromavich zilizopo Uingereza kwa sasa zinashikiliwa na serikali hata mchakato wa kuiuza club hiyo umesitishwa, Chelsea pia imezuiwa kuuza tiketi watakaokuwa wanaingia uwanjani ni wale tu wenye tiketi za msimu.

Bilionea huyo wa kirusi anakuwa miongoni mwa mabilionea wengine 7 wa Urusi ambao mali zao zimewekewa vikwazo na baadhi ya mataifa kutokana na Urusi kuvamia Ukraine.

Roman amekuwa akiishi na kufanya shughuli na biashara zake mbalimbali nchini England kwa zaidi ya miaka 20 sasa, zuio hilo linakuwa pigo kwa Roman kwani limefika mbali na kumzuia hata kufanya miamala mikubwa ya pesa kibiashara na watu binafsi.

You Might Also Like

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Haji Manara amtambulisha Aziz Ki kama Mfalme, ambusu magoti, amfunga viatu

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA March 10, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Muhimbili yalaani video ya Prof. Jay akiwa ICU ‘Hatujarekodi sisi’
Next Article Himid Mao baada ya kuanguka uwanjani “nipo sawa”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?