Top Stories

Malkia Elizabeth apiga marufuku wanafamilia kutumia maneno haya nane

on

Malkia Elizabeth wa Uingereza amepiga marufuku wanafamilia wa familia ya kifalme kutumia maneno nane ya kawaida ambayo anaona yanasusha hadhi.

Malkia wa Uingereza anajulikana kuwa mkali sana katika kuhakikisha kwamba familia yake inafuata maadili makali ya kimila.

Mbali na kanuni kali alizoweka kuhusu mavazi, Malkia sasa amepiga marufuku maneno nane kutoka kwenye msamiati wa familia ya kifalme. Maneno hayo nane ni Couch, Living Room, Court yard. Posh, Perfume, Dad, Smell na Toilet.

Mifano ya maneno yanayotakiwa kutumiwa ni pamoja na Sofa badala ya Couch, Father badala ya Dad, Fragrance badala ya Perfume, n.k. Hii sio mara ya kwanza kwa Malkia kutoa mwongozo kama huo.

MBOWE AMJIBU MDEE PEUPE “SIJASALITI CHADEMA OVER MY DEAD BODY”

Soma na hizi

Tupia Comments