Habari za Mastaa

Kala Jeremiah kwenye ubora wake, anakukaribisha uicheki mpya yake- ‘Malkia’ (+Video)

on

Rapper Kala Jeremiah ni moja ya mastaa ambao walitokea vizuri sana kupitia mikono ya mashindano ya Bongo Star Search… kajitahidi kuweza kubaki mchezoni kwa muda mrefu sana na kila mdundo anaoachia unakuwa hit kila kona.

Unakumbuka mambo ya ‘Dear GOD‘, ‘Simu ya Mkononi‘ na ‘Nchi ya Ahadi‘… OK, hizo zote ni zake !! Kama umemiss kuisikia sauti ya Kala Jeremiah basi nikufahamishe kwamba jamaa kajipanga na karudi kuvingine, mzigo unaitwa ‘Malkia‘… Imenifikia na unaweza kuicheki hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments